• Barua Pepe za Watumishi |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mrejesho na Malalamiko |
RORYA DISTRICT COUNCIL
RORYA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Ujumbe na Maono
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya halmashauri
  • Utawala
    • Division
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
    • Muundo wa Utawala
    • Kata
      • Kata -Tarafa ya Nyancha
        • Kata ya Nyahongo
        • Kata ya Kigunga
        • Kata ya Mkoma
        • Kata ya Raranya
        • Kata ya Bukura
        • Kata ya Tai
        • Kata ya Nyamtinga
        • Kata ya Kirogo
        • Kata ya Nyamagaro
        • Kata ya Kinyenche
        • Kata ya Kyangasaga
      • Kata-Tarafa ya Girango
        • Kata ya Mirare
        • Kata ya Koryo
        • Kata ya Bukwe
        • Kata ya Goribe
        • Kata ya Ikoma
        • Kata ya Kitembe
        • Kata ya Roche
      • Kata-Tarafa ya Suba
        • Kata ya Kisumwa
        • Kata ya Baraki
        • Kata ya Komuge
        • Kata ya Nyamunga
        • Kata ya Kyangómbe
      • Kata-Tarafa ya Luoimbo
        • Kata ya Rabour
        • Kata ya Nyaburongo
        • Kata ya Nyathorogo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Tarajiwa
  • Machapisho

Waratibu Elimu Kata, Waganga wa Vituo vya Afya Wamepewa Elimu ya Uhasibu kwenye Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa za Fedha kwa Ngazi ya Kituo cha Kutolea Huduma (Facility Financial Accounting and Reporting System ''FFARS'')

Tarehe ya Kuwekwa: June 12th, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Ndg. Charles K Chacha amefungua Mafunzo ya Siku Mbili ya Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa za Fedha kwa Ngazi ya Kituo cha Kutolea Huduma (Facility Financial Accounting and Reporting System ''FFARS'' kwa Waratibu Elimu Kata, Wakuu wa Vituo vya Afya na Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa SOA, Utegi-Rorya kuanzia tarehe 12 hadi 13, Jumi 2017, na baadaye Washiriki hawa Kusambaa Wilaya nzima kupeleka Mafunzo hayo kwa Walimu Wakuu Shule za Misingi, Wakuu wa Shule za Sekondari na Wakuu wa Zahanati. 

Akifungua mafunzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji aliwasihi Washiriki Wote wa Mafunzo Kuhakikisha wanasikiliza kwa makini ili mafunzo haya yakapate kuwa na tija kwa Kuwaondolea Usumbufu wa Ukaguzi wa Kifedha na kuleta Urahisi na Usahihi wa Kuripoti Taarifa za Fedha.

Malengo ya Mfumo huo kwa Washiriki wa Mafunzo hayo kuwajengea uwezo watoa huduma katika vituo vya kutolea huduma, kusaidia upatikanaji wa taarifa sahihi katika mahesabu ya mapato na matumizi ya halmashauri na kuunda kusaidia kuhakikisha fedha za ruzuku zinasimamiwa vizuri na taarifa za matumizi yake zinatolewa kwa usahihi tofauti na ilivyokuwa mwanzo.

Mfumo huo wa FFARS unatekelezwa kwa ushirikiano baina ya Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Wizara ya Fedha na Mipango, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, pamoja na Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Watu wa Marekani (USAID).


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA SEPTEMBA 2025 September 12, 2025
  • RIPOTI KUU YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA 2022/2023 April 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 24, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 14, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA

    October 11, 2024
  • Dc Rorya Dkt Haule alitembelea na kukagua ujenzi wa madarasa 2 na ofisi mmoja ya Walimu shule mpya ya sekondari Kirongwe.

    September 19, 2024
  • kukagua ujenzi wa chuo cha VETA Rorya tarehe 26/9/2024.

    September 26, 2024
  • MWENGE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    July 29, 2024
  • Angalia Vyote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
Video Zingine

Kiunganishi cha Haraka

  • Organization Structure of Rorya
  • Photo Gallery

Tovuti zenye Uhusiano

  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Tanzania
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Chaneli ya Ikulu ya Tanzania

Wanaotembelea tovuti Ulimwenguni

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    INGRI JUU - RORYA

    Sanduku la Posta: 250 TARIME

    Simu ya Mezani: 0282985583

    Simu ya Mkononi :

    Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wanaotembelea Tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Zote Zimehifadhiwa