Posted on: January 15th, 2026
Mafunzo hayo yametolewa leo January 15,2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ,Akifungua mafunzo hayo kaimu mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ndg.Mtuli Jumanne ameto...
Ukubwa wa Eneo la Wilaya = Kilomita za Mraba 9,345.496
Idadi ya Watu = Jumla ya Watu 354,490 (Wanawake....Wanaume ....)-Sensa ya Mwaka 2022
Shule za Sekondari za Serikali = 46
Shule za Sekondari Binafsi = 4 (Kowak Girls, Masonga, Jope Boys na Girango)
Shule za Msingi za Serikali = 132
Huduma za Afya = Zahanati 43 (za Serikali 37, za Dini 2, za Binafsi 4), Vituo vya Afya 9 (vya Serikali 5, vya Dini 3, cha Binafsi 1), Hospitali 3 (ya Serikali 1, za Dini 2, za Binafsi 1) .
Maeneo ya Utawala = Halmashauri 1, Jimbo la Uchaguzi 1, Tarafa 4, Kata 26, Vijiji 87 na Vitongoji vya Mji Mdogo 9