Posted on: February 18th, 2026
Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Rorya limekutana leo february 18,2026 katika Ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya kujadili na kupitisha rasimu ya Mpango wa Bajeti ya Halmasha...
Ukubwa wa Eneo la Wilaya = Kilomita za Mraba 9,345.496
Idadi ya Watu = Jumla ya Watu 354,490 (Wanawake....Wanaume ....)-Sensa ya Mwaka 2022
Shule za Sekondari za Serikali = 46
Shule za Sekondari Binafsi = 4 (Kowak Girls, Masonga, Jope Boys na Girango)
Shule za Msingi za Serikali = 132
Huduma za Afya = Zahanati 43 (za Serikali 37, za Dini 2, za Binafsi 4), Vituo vya Afya 9 (vya Serikali 5, vya Dini 3, cha Binafsi 1), Hospitali 3 (ya Serikali 1, za Dini 2, za Binafsi 1) .
Maeneo ya Utawala = Halmashauri 1, Jimbo la Uchaguzi 1, Tarafa 4, Kata 26, Vijiji 87 na Vitongoji vya Mji Mdogo 9