Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote wa kata ya Ikoma iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mkoani Mara kuwa, Uboreshaji wa Majaribio (PILOT) wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika kwa siku saba kwa kila kituo.
Soma Tangazo zaidi hapa chini:
TANGAZO TV &RADIO UBORESHAJI PILOT - KATA MBILI - KATA YA IKOMA Final.pdf
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa