Ndg. Francis Emmanuel Namaumbo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya . Aliteuliwa kushika nafasi hiyo mwaka 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akitokea Halmashauri ya Wilaya ya Makete ambapo alikuwa akihudumu pia kama Mkurugenzi Mtendaji.
Ndg. Namaumbo anachukua nafasi ya ndugu Charles Kitamuru Chacha, ambaye alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hii tangu 2015.
Bwana Namaumbo ni Msomi .........
Samahani! Wasifu Bado unaendelea kurekebishwa!
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa