• Barua Pepe za Watumishi |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mrejesho na Malalamiko |
RORYA DISTRICT COUNCIL
RORYA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Ujumbe na Maono
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya halmashauri
  • Utawala
    • Division
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Information and Communication Technology Unit
      • Internal Audit Unit
      • Legal Services Unit
      • Procurement Management Unit
      • Government Communication Unit
    • Muundo wa Utawala
    • Kata
      • Kata -Tarafa ya Nyancha
        • Kata ya Nyahongo
        • Kata ya Kigunga
        • Kata ya Mkoma
        • Kata ya Raranya
        • Kata ya Bukura
        • Kata ya Tai
        • Kata ya Nyamtinga
        • Kata ya Kirogo
        • Kata ya Nyamagaro
        • Kata ya Kinyenche
        • Kata ya Kyangasaga
      • Kata-Tarafa ya Girango
        • Kata ya Mirare
        • Kata ya Koryo
        • Kata ya Bukwe
        • Kata ya Goribe
        • Kata ya Ikoma
        • Kata ya Kitembe
        • Kata ya Roche
      • Kata-Tarafa ya Suba
        • Kata ya Kisumwa
        • Kata ya Baraki
        • Kata ya Komuge
        • Kata ya Nyamunga
        • Kata ya Kyangómbe
      • Kata-Tarafa ya Luoimbo
        • Kata ya Rabour
        • Kata ya Nyaburongo
        • Kata ya Nyathorogo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Tarajiwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma Kwa Wateja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba Ya Picha
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Makala
    • Nyaraka

UJENZI WA UKUMBI WA HALMASHAURI-INGRI JUU

Start Date: 2012-02-01
End Date: 2023-10-31

UTANGULIZI

  • Halmashauri ilipokea kiasi Tsh. 750,000,000/= kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kutoka serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa Ukumbi wa Halmashauri. Makadirio halisi ya mradi ni Tsh. 1,232,000,000/= kwa ukamilishaji wa kazi zote pamoja samani zote za ukumbi.
  •  
  • Halmashauri ilianza utekelezaji wa mradi huu wa ujenzi wa Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya kwa mtindo wa manunuzi (Force account) ambapo kamati tatu ziliundwa ikiwa ni kamati ya utekelezaji na ufuatiliaji, kamati ya manunuzi pamoja na kamati ya mapokezi.


HATUA ZA UJENZI 

Hatua ya ujenzi wa ukumbi wa halmashauri ya wilaya umefikia 93% ambao kwa sasa ujenzi upo katika hatua ya umaliziaji

Hatua zilizo salia ili kukamilisha shughuli za ujenzi katika ukumbi ni pamoja na:

  • Ufitishaji wa top za milango, na handrails katika ngazi na suspended slab
  • Ufitishaji wa madirisha ya aluminium
  • Mfumo wa umeme awamu ya pili
  • Mfumo wa tehama na sauti
  • Mifumo ya maji safi awamu ya pili (fitings of accessories)
  • Mfumo wa zima moto
  • Kumimina slab kuzunguka jengo


MATUMIZI YA FEDHA KWA UJUMLA

Mpaka sasa kiasi cha Tshs 691,213,415.00 kimeshatumika ikiwa Tshs. 114,050,000.00 malipo ya fundi na Tshs.  577,163,415.00 malipo ya wazabuni  na tumebakiwa na kiasi cha Tsh 71,276,585.00 

CHANGAMOTO ZILIZOJITKEZA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI

Katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Rorya kuna changamoto mbalimbali zilijitokeza kama ifuatavyo.

  • Tatizo la mfumo wa malipo kwa wazabuni na mafundi lililopelekea mradi kusimama kwa muda wa takribani miezi 6
  • Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi ulopelekea kuongeza gharama za mradi
  • Changamoto za kimkataba baina ya fundi wa awali (SUMA JKT) na mwajiri zilizopelekea kuchelewa kwa utekelezaji wa mradi kwa muda wa takribani miezi 4 na hvyo kupelekea kuvunja mkataba.
  • Fedha za mradi kutotosha kukamilisha mradi.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2023 KWA RORYA December 14, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2024 December 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA SEPTEMBA 2025 September 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA SEPTEMBA 2025 September 12, 2025
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • VIKUNDI 14 VYAPEWA MKOPO WA 10% HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA

    January 22, 2026
  • VIKUNDI 14 VYILIVYOPEWA MKOPO WA 14% VYAPEWA MAFUNZO

    January 15, 2026
  • RC MARA AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA WILANI RORYA

    January 15, 2026
  • DC RORYA AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI NA KUACHA MAAGIZO

    January 09, 2026
  • Angalia Vyote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
Video Zingine

Kiunganishi cha Haraka

  • Organization Structure of Rorya
  • Photo Gallery

Tovuti zenye Uhusiano

  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Tanzania
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Chaneli ya Ikulu ya Tanzania

Wanaotembelea tovuti Ulimwenguni

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    INGRI JUU - RORYA

    Sanduku la Posta: 250 TARIME

    Simu ya Mezani: 0282985583

    Simu ya Mkononi :

    Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wanaotembelea Tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Zote Zimehifadhiwa