Ukubwa wa Eneo la Wilaya = Kilomita za Mraba 9,345.496
Idadi ya Watu = Jumla ya Watu 354,490 (Wanawake....Wanaume ....)-Sensa ya Mwaka 2022
Shule za Sekondari za Serikali = 46
Shule za Sekondari Binafsi = 4 (Kowak Girls, Masonga, Jope Boys na Girango)
Shule za Msingi za Serikali = 132
Huduma za Afya = Zahanati 43 (za Serikali 37, za Dini 2, za Binafsi 4), Vituo vya Afya 9 (vya Serikali 5, vya Dini 3, cha Binafsi 1), Hospitali 3 (ya Serikali 1, za Dini 2, za Binafsi 1) .
Maeneo ya Utawala = Halmashauri 1, Jimbo la Uchaguzi 1, Tarafa 4, Kata 26, Vijiji 87 na Vitongoji vya Mji Mdogo 9
Shule za Msingi Binafsi = 13
Shule za Sekondari zenye Kidato cha 5 na 6 (High School) = 4 (Buturi Sec, Nyanduga Sec, Nyamunga Sec na Bukama Sec)
Viongozi wa Kiserikali = Mkuu wa Wilaya (DC) 1, Mwenyekiti wa Halmashauri 1, Mbunge 1, Mkurugenzi Mtendaji 1, OCD/Wilaya za Kipolisi 3, Wakuu wa Idara , Wakuu wa Vitengo 7