• Barua Pepe za Watumishi |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Mrejesho na Malalamiko |
RORYA DISTRICT COUNCIL
RORYA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Ujumbe na Maono
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya halmashauri
  • Utawala
    • Division
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Information and Communication Technology Unit
      • Internal Audit Unit
      • Legal Services Unit
      • Procurement Management Unit
      • Government Communication Unit
    • Muundo wa Utawala
    • Kata
      • Kata -Tarafa ya Nyancha
        • Kata ya Nyahongo
        • Kata ya Kigunga
        • Kata ya Mkoma
        • Kata ya Raranya
        • Kata ya Bukura
        • Kata ya Tai
        • Kata ya Nyamtinga
        • Kata ya Kirogo
        • Kata ya Nyamagaro
        • Kata ya Kinyenche
        • Kata ya Kyangasaga
      • Kata-Tarafa ya Girango
        • Kata ya Mirare
        • Kata ya Koryo
        • Kata ya Bukwe
        • Kata ya Goribe
        • Kata ya Ikoma
        • Kata ya Kitembe
        • Kata ya Roche
      • Kata-Tarafa ya Suba
        • Kata ya Kisumwa
        • Kata ya Baraki
        • Kata ya Komuge
        • Kata ya Nyamunga
        • Kata ya Kyangómbe
      • Kata-Tarafa ya Luoimbo
        • Kata ya Rabour
        • Kata ya Nyaburongo
        • Kata ya Nyathorogo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Tarajiwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma Kwa Wateja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba Ya Picha
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Makala
    • Nyaraka

Historia

Chimbuko

Wilaya ya Rorya ilianza rasmi tarehe 01/07/2007 baada ya kugawanywa kutoka Wilaya ya Tarime. Kabla ya hapo Wilaya hii ilikuwa jimbo la uchaguzi la Rorya. Wilaya ipo kaskazini mwa Tanzania kati ya latitude 1o .00″ - 1 o 4.5″ Kusini mwa mstari wa Ikweta na Longitude 33o. 30″ - 35o.00″ Mashariki mwa mstari wa Meridiani. Wilaya inapakana na nchi ya Kenya Kwa upande wa kaskazini, Wilaya ya Tarime upande wa Mashariki. Wilaya za Butiama na Musoma kwa upande wa kusini na Nchi ya Uganda upande wa Magharibi.

Wilaya ya Rorya ina jumla ya Tarafa 4, Kata 26, Vijiji 87 na Vitongoji 508 na kaya 60,510 ikiwa Kata 24 katika Halmashauri ya Wilaya na Vijiji 87 na Mamlaka ya Mji Mdogo Shirati in Kata 2 na vitongoji 9.

Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 idadi ya Watu ni 354,490 (Wanawake....Wanaume ....). Hiili ni ongezeko la watu 89,249 ukilinganisha na Sensa ya Mwaka 20222012, ambapo Halmashauri ya Wilaya ilikuwa na wakazi 265,241 ambapo kati ya hao wanaume walikuwa 126,247 (47%) na wanawake walikuwa 138,994 (53%).

Wastani wa ongezeko la watu ndani ya Wilaya ya Rorya (Population growth Rate) ni asilimia 33.6

Ukubwa wa Eneo

Wilaya ina ukubwa wa kilomita za mraba 9,345.496, ikiwa eneo la maji (Ziwa Victoria) ni kilomita za mraba 7,252 sawa na 77.6% ya eneo lote la Wilaya. Eneo la nchi kavu ni kilomita za mraba 2,093.496 sawa na 22.4% la eneo la Wilaya. 

Watu wa Rorya

Wakazi wa Wilaya ya Rorya ni mchanganyiko wa makabila ya Waluo na Asili ya Wakurya(waliomeguka na kugawa makabila madogomadogo yapatayo sita).

Shughuli za Kiuchumi

Uchumi wa Wilaya ya Rorya unategemea hasa shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi. Aidha Mazao makuu yanayolimwa Wilayani ni Mahindi, Mihogo, Migomba, Mtama, Ulezi, Viazi vitamu, Maharage na mazao ya Biashara ni kahawa, Pamba, Ufuta na alizeti.  Shughuli kuu za kiuchumi za wakazi wa Wilaya ya Rorya ni ;

  • Sekta ya Kilimo na ufugaji inaajiri takribani asilimia 91 ya wakazi wote.
  • Sekta ya Uvuvi huajiri asilimia 3.44 ya wakazi wote.
  • Biashara ndogondogo huajiri asilimia 5.42 ya wakazi.
  • Shughuli nyinginezo takribani asilimia 1.14 ya wakazi.

Hali ya Hewa

Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ipo katika mwinuko wa mita 800 hadi 1,200 juu ya usawa wa Bahari. Mtazamo wa ardhi ya Halmashauri ni rasi, ghuba, miteremko, tambarare, mawe yaliyojitokeza na mito inayomwaga/peleka maji katika ziwa Victoria. Kiasi cha mvua na hali ya hewa inatofautiana kutokana na umbile la ardhi eneo kwa eneo na mvuto wa ziwa. Kiasi cha mvua kwa mwaka ni kati ya mm 700 hadi 1200 kwa mvua inayonyesha misimu miwili.

Mvua za msimu wa vuli huanza mwezi Oktoba hadi Desemba na mvua za masika huanza mwezi Machi hadi Juni. Hali ya hewa ni ya joto la kadri, lenye vipimo vya nyuzi joto kati ya nyuzi 140C hadi 300C.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA SEPTEMBA 2025 September 12, 2025
  • RIPOTI KUU YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA 2022/2023 April 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 24, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 14, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA

    October 11, 2024
  • Dc Rorya Dkt Haule alitembelea na kukagua ujenzi wa madarasa 2 na ofisi mmoja ya Walimu shule mpya ya sekondari Kirongwe.

    September 19, 2024
  • kukagua ujenzi wa chuo cha VETA Rorya tarehe 26/9/2024.

    September 26, 2024
  • MWENGE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    July 29, 2024
  • Angalia Vyote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
Video Zingine

Kiunganishi cha Haraka

  • Organization Structure of Rorya
  • Photo Gallery

Tovuti zenye Uhusiano

  • Tovuti Kuu ya Serikali ya Tanzania
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Chaneli ya Ikulu ya Tanzania

Wanaotembelea tovuti Ulimwenguni

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    INGRI JUU - RORYA

    Sanduku la Posta: 250 TARIME

    Simu ya Mezani: 0282985583

    Simu ya Mkononi :

    Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wanaotembelea Tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Zote Zimehifadhiwa