Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas azungumza na Maofisa Habari na Tehama wa mikoa ya kanda ya ziwa wanaoshiriki mafunzo maalum ya wiki moja jijini Mwanza ya uendeshaji tovuti za Halmashauri na Mikoa chini ya Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma nchini (PS3) wenye lengo la kuboresha upatikanaji wa taarifa klwa wananchi.
Amewasisitiza maafisa habari kuweka malengo magumu kutekeleza ili waweze kuyatumia malengo hayo kuleta mabadiliko makubwa.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa