Mkuu wa Wiaya ya Rorya Ndg. Simon Chacha, Mbunge wa Rorya Mh.Lameck Airo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Ndg. Charles Chacha,Madiwani, Watumishi, Askari Polisi, Viongozi wa CCM na Wananchi wa Utegi wameshiriki mazoezi ya mwili katika uwanja wa Utegi kutekeleza agizo la Mh. Samia Suluhu, Makamu wa Rais Tanzania wiki ya pili ya mwezi Machi.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa