Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Rorya limekutana leo february 18,2026 katika Ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya kujadili na kupitisha rasimu ya Mpango wa Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa ni hatua muhimu katika maandalizi ya utekelezaji wa shughuli za Maendeleo na Utoaji huduma bora kwa wananchi .
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa