Mafunzo hayo yametolewa leo January 15,2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ,Akifungua mafunzo hayo kaimu mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ndg.Mtuli Jumanne ametoa rai kwa wanufaika wa mikopo hiyo kwenda kutumia pesa hizo kuligana na malengo waliojiwekea na si vinginevyo na watambue kuna marejesho .
Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili yakijumuisha mambo yafuatayo kuweka akiba ,usimamizi wa fedha ,utunzaji wa kumbukumbu ,usimamizi wa fedha,mali za vikundi ,uvuvi wa mazao ya samaki na haki na wajibu kwa wanakikundi
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa