Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evance Mtambi amefanya ziara ya Ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu na Uvuvi hku akisisitiza ukamilishaji wa miundombinu hiyo kwa wakati
Kanali Mtambi ametoa maagizo hayo mapema leo January15 2026 wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Ujenzi wa shule ya Awali na Msingi Sota, Mradi wa kuzalisha vifaranga vya samaki Sota shirati na ujenzi wa VETA kijiji cha Bitirio
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa