Mkuu wa wilaya ya Rorya Mh.Dr Khalfan Haule amefungua shule ya sekondari kowak iliyojengwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi na wadau wa maendeleo ndani ya kijiji cha kowak ,ujenzi wa shule hiyo yenye vyumba sita umetumia zaidi ya milioni 144
Akizungumza na wananchi waliojitokeza katika Hafla hiyo mkuu wa wilaya amewataka wazazi kuhakikisha watoto waliochaguliwa kujiunga na shule hiyo kuripoti wote siki ya jumanne 13,2026 . Pia amewataka walimu wakuu kutowafukuza watoto ambao hawana sare badala yake wawasikilize na kutatua shida zao
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa