TEAM TAUSI ikiwa kazini maafisa biashara katika halmashauri ya Rorya wamepiga kambi katika kijiji cha Chereche kusaidia wafanya biashara kujisajili na kurenew leseni za biashara aidha wananchi wamepongeza Ofisi ya mkurugenzi kwa kutoka ofisini na kwenda kusaidia wananchi kupata leseni za biashara.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa