1. KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA HALMASHAURI YA WILAYA RORYA 2016/2017
Shughuli ya kwanza: kufundisha wahudumu wa Afya wa Vijiji/Mitaa jinsi ya kukusanya taarifa za
usafi kabla ya kampen Tarehe 20/02/2017.
Lengo: KuwawezeshaWahudumuWa afya Vijijini/Mtaa kujua jinsi ya kutumia dodoso la usafi wa
mazingira katika kaya
Washiriki:Maafisa Afya na Wadumuwa Afya wa Kijiji/Mtaa: Kutoka Kijiji cha:
-Tatwe -Osiri
2.Uhamasishaji Usafi wa Mbinu Shirikishi za Usafi wa Mazingira utafanyika kata ya Raranya, Goribe na Nyathorogo kama ifuatavyo:
Na. | KIJIJI | TAREHE YA KUANZA | TAREHE YA KUMALIZA |
|
1 | Raranya | 01/03/2017 | 02/03/2017 |
|
2 | Panyakoo | 03/03/2017 | 03/03/2017
|
|
3 | Nyamusi | 06/03/2017
|
06/03/2017
|
|
4 | Nyasoko | 07/03/2017
|
07/03/2017
|
|
5 | Omuga | 07/03/2017
|
07/03/2017
|
|
6 | Kowak | 08/03/2017
|
08/03/2017
|
|
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa