Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya anawatangazia Waombaji wa kazi nafasi mbalimbali waliokidhi vigezo kuhudhuria usaili.
Aidha, Waombaji wasioona majina yao kwenye Orodha hii watambue kuwa hawakukidhi vigezo au walikosea masharti ya uombaji.
Bofya hapa chini kuona Orodha:
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa