Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Rorya. Bwana Charle K. Chacha katika kikao chake na wakuu wa idara zote cha tarehe 22/11/2017 kwenye ukumbi wa halmasahuri hiyo, kikao kilicho kaa kujadili na kujibu hoja za ukaguzi. mkurugezi alitumia kikao hicho kuwatangazia wakuu wa idara kuanza maandalizi ya bajeti ya mipango kazi na matumizi ya mwaka wa fedha 2018/2019. alisema ifikapo mwishoni mwa mwezi wa Desember kila mkuu wa idara awe amekamilisha bajeti ya idara yake.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa