Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya uraia na wakazi wote waliomo ndani ya wilaya ya Rorya, limeanza kwa awamu ya pili tangu tarehe 22/11/2017. Zoezi limeanzia kata ya koryo, linatarajiwa kukamilika katika kata zote ndani ya miezi miwili. Hivyo kila raia na mkazi aliyomo ndani ya wilaya ya Rorya unaombwa kujianda na kuhudhuria zoezi hili litakapokuwa limefika katani kwako. fika bila kukosa kitambulisho ni cha mhimu sana.
INGRI JUU - RORYA
Sanduku la Posta: 250 TARIME
Simu ya Mezani: 0282985583
Simu ya Mkononi :
Barua Pepe za Watumishi: mkurugenzi@roryadc.go.tz
Haki Zote Zimehifadhiwa