Tarehe ya Kuwekwa: March 15th, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Technolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye amezindua mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa na Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) Kupitia ruzuku inayotolewa na ...
Tarehe ya Kuwekwa: April 26th, 2024
Maafisa Mapato wa halmashauri ya Rorya wakiendelea na majukumu yao ya kuhakikisha wanakusanya mapato ya Mnada wa Randa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Rorya kazi iendelee............
Tarehe ya Kuwekwa: April 1st, 2024
TEAM TAUSI ikiwa kazini maafisa biashara katika halmashauri ya Rorya wamepiga kambi katika kijiji cha Chereche kusaidia wafanya biashara kujisajili na kurenew leseni za biashara aidha wananchi wamepon...